Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto wao wa pili ambaye ni mdogo wake na North West.
No comments