ads

Breaking News

Rapa 2 Chainz kanunua vitu vya ndani na kulipa kodi ya mwaka ilikusaidia hii familia.



Rapa 2 Chainz ameonyesha moyo wa kujitolea wakati huu wa sikuku kwa kununua vitu vya ndani kwenye nyumba ya mwanajeshi mlemavu na kumlipia kodi ya mwaka.
Kupitia taasisi yake ya misaada ya TRU Foundation charity, 2 Chainz alisikiliza maelezo ya mwanafamilia huyo aliyesema ni ngumu kwake kulipa kodi, kununua mafuta ya gari, chakula na kutunza familia yake sababu ametoka kufanyiwa upasuaji na hajapata kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
2 Chainz alimshtusha mwanamama huyu na mwanae wa kiume kwa kwenda kwenye nyumba yao bila taarifa kuhakikisha kuwa ameleta makochi, meza na vitu vidogo vya ndani, pia 2 Chainz amewalipia kodi ya mwaka mmoja.

No comments