Fataki Zazua Tafrani Ubalozi Wa Marekani tz Kwa Hisia Za Uvamizi
Mioyo ya watanzania bado haijasahau tukio baya la shambulizi la bomu
katika ubalozi wa Marekani. Hii ndio sababu iliyowafanya wakazi wa
Morocco na wapita njia kupasuka moyo baada ya kusikia milio inayofanana
na risasi au booms
Milio
hiyo ilisikika katika Ubalozi wa Marekani ni milio ya Fataki iliyokuwa
ikipigwa katika eneo hilo. Bado haijafahamika sababu za kupigwa kwa
fataki hizo ingawa hisia za wengi ni kuhusu kufuzu kwa timu ya Marekani
kwenda katika hatua ya mtoano kwenye Kombe la Dunia, ama mapokezi ya mtu
fulani mzito aliyeingia eneo hilo.
No comments