Hii ni picha ya kutoka kwenye video shooting ya wimbo mpya wa
Diamond “mdogomdogo”. Kwenye exclusive interview na Diamond alisema
“Anamategemeo makubwa na wimbo wake “Mdogo mdogo” na ni miondoko
aliyotaka kufanya kwa muda mrefu tu.
the kik off .. Mdogo Mdogo video by Diamond platnumz
Reviewed by peacethepresident
on
June 27, 2014
Rating: 5
No comments