HABARI YA KUSIKITISHA ZAIDI MCHANA HUU.. Motomkubwa unateketeza baadhi yamaduka/ majengo yanayozungukaeneo la hospitali yaMwananyamala Dar es Salaam. Hadi sasa nyumba 3 zimeteketeakwa moto ambao badounaendelea kuwaka kwa kasi nakutishia nyumba zingine zilizopojirani. |
No comments