ads

Breaking News

Fahamu Zaidi Kuhusu DJ Khaled Kuanzisha Headphones Zake ‘We The Best Sound’.

DJ mkongwe ambaye siku zote amekuwa na projects mbalimbali za muziki, DJ Khaled ametangaza kuanzisha Headphones zake alizozipa jina la “We The Best Sound”.
attends The 2008 BET Spring Bling March 30, 2008 Riviera Beach, FL

DJ huyo ametangaza rasmi kuanzisha bidhaa hiyo ya headphones na kueleza kuwa ameamua kushirikiana na Heads Audio& Bang Olufsen kwa lengo la kutengeneza headphones bora zaidi kuwahi kutokea katika soko la muziki.
Swahiba wa DJ Khaled, Fat Joe ndiye msanii wa kwanza kuwa balozi wa hiari wa ‘We The Best Sound’.
We The BestWengine waliompa sapoti ni French Montana na Flo rider.

French Montana

DJ Khaled amefuata nyayo za  wasanii ambao tayari wana bidhaa ya headphones sokoni kama Dr Dre (Beats by Dre), 50 Cent na Luda Cris pia. Biashara hii ndiyo iliyompa Dre Dremchongo uliomfanya kuwa billionaire wa kwanza mwana hip hop.

 Hivi ndivyo alivyaondika DJ Khaled Instagram na kuambatanisha na picha ya Headphones zake:
“Today I am proud to announce that I have partnered with Heads Audio & Bang Olufsen to create the best audio in the market place, We The Best Sound. We The Best Sound represents the very best in audio entertainment. Alongside the prestigious Bang Olufsen brand, We The Best Sound and Heads Audio will provide the listener with the highest quality sound in electronic audio entertainment and will continue to carry on the tradition in excellence set by Bang Olufsen. It will also provide the listener a chance to hear audio the way I hear it when creating my music. I take pride in crafting a sound based on time, care and most importantly the best quality sound on the planet. Embark on this journey in sound with me…you won’t be disappointed. We The Best Sound, the brand you can trust. H6 with Dj Khaled by B&O @wethebestmusic @wethebestsound @headsaudio @beoplay #GODISTHEGREATEST!”

No comments