over La Wimbo Mpya Wa Nicki Minaj Linalozungumziwa Zaidi Mtandaoni
Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza
attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani. Sasa
jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”. Picha ya cover
hili inamuonyesha Nicki akituonyesha umbolake kwa nyuma huku akiwa
amevalia nguo ya ndani aina ya g-string, bra ya michezo na Jordans
miguuni.
No comments