ads

Breaking News

Picha zinatisha sana_KIJANA APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU (JAMANI MKE WA MTU SUMU)

Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza hatimaye wamefanikiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi


No comments