UMEMUONA YULE MODEL WA VIDEO YA ICE CREAM ALIVYOBADILIKA BAADA YA KUPATA MATIBABU YA DAWA ZA KULEVYA
Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya
baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation
yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi
alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla
hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika
Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen
No comments