ads

Breaking News

The Beef: Meek Mill Blasts Wale On Twitter, Wale Responds!

beef kati ya rappers wakubwa wa kundi la May Bach Music Group (MMG) linaloongozwa na Rick Ross.
Rapper Meek Mill amemdiss waziwazi rapper mwenzake Wale kuwa amekuwa mchoyo wa fadhira na ameshindwa kusapoti albam yake inayokuja ya ‘Dreams Worth More Than Money’.

Meek Mill na Waleeee


Kupitia Twitter, Meek Mill alieleza kuwa Wale anamchukia hivi sasa kwa kuwa hata wasanii wenzake wanapotweet kuhusu ngoma ya Meek Mill inayofuata ama albam yake, Wale amekuwa kimya haandiki chochote kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hilo.
Amedai kuwa jamaa hata kumtumia ujumbe kwa simu siku hizi hamtumii.

“”Wale just ain’t gone tweet a thing about my album…. He’s been hating on me long time now …don’t even text me cornball! #UNOTMMG.” Aliandika kwenye Tweet yake moja.

Meek Mill & Rod Stewart Albums Headed for Top 10 on Billboard 200 ChartMuda mfupi baada ya Meek Mill kufunguka, Wale nae akaandika maelezo marefu kwenye Instagram wakieleza kuwa yeye alimsapoti sana Meek Mill wakati anatoa wimbo wake ‘I Don’t Care (Suicidal)’ lakini hakupata sapoti kutoka kwa rapper huyo wakati anatoa ngoma yake ya ‘Razor Freestyle au wimbo aliomshirikisha Mariah Carey ‘You Don’t Know What to Do’...
kwahiyo we are even or????

No comments