ALICHOKIJIBU MANAGER WA WEMA BAADA YA TUHUMA ZA KUSHINDWA KUMSIMAMIA WEMA SEPETU
Maswali mengi yamekuja baada ya Wema
kufanya show Mwanza mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na
hayo mashabiki waliyo wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko
hivyo anvyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi
sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa
chini ndo jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana
baada ya Kuambiwa Kashindwa kazi:
No comments