Jokate Naye Avamia Fani ya Bongo Flava, Ahahidi Kumzidi Venessa Mdee
Mrembo Jokate Ambaye Tumezoea kumuona Kwenye Mitindo na Utangazaji Naye
Ameamua Kufuata Nyayo za Mtangazaji Mwenzake Venessa Mdee Kwa Kujiingiza
kwenye Fani ya Kuimba Bongo Flava, Jokate Kwa mara ya Kwanza alipanda
jukwaani na Wacheza Show wake kwenye Show ya Ufunguzi wa Fiesta Huko
Mwanza na Kushangiliwa sana Mashabiki kwani Alifanya Kama Surprise.
jokate Amesema amejipanga sawa sawa Mashabiki wakae tayari kwa Mambo makubwa kwani yupo kamili na amesema lazima amzidi Venessa Mdee Ambae ni mwenzake katika utangazaji.
Je Ataweza?
jokate Amesema amejipanga sawa sawa Mashabiki wakae tayari kwa Mambo makubwa kwani yupo kamili na amesema lazima amzidi Venessa Mdee Ambae ni mwenzake katika utangazaji.
Je Ataweza?
No comments