Baada ya jana Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu
na Wiz Kid kutokea, Wiz ameingia twitter na kumjibu bila kumtaja jina
kama kawaida yao. Tweet hiyo inadhihirisha kwamba Wiz Kid hakupenda
jinsi Davido alivyozungumza kuhusu hilo beef.
No comments