Hii ni kuhusu mtoto wa mwezi mmoja alieliwa na Panya.
Ni
stori nyingine kubwa ya siku kutoka kwenye jiji la Johannesburg Afrika
Kusini ikisema kwamba Panya wamemng’ata vidole na pua mtoto wa mwezi
mmoja kwenye kitongoji cha Alexandra wanachoishi watu wa hali ya chini.
BBCswahili
wameripoti kwamba mtoto huyu kwa sasa anasubiria kufanyiwa upasuaji wa
kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hili.
Panya
walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao huku mama yake akiwa anafua nguo
nje ndipo alipokimbilia ndani kumtazama baada ya kusikia analia,
akamkuta anatokwa damu.
No comments