ads

Breaking News

MCHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU,WAKE ZA WATU WAZIDI KULETA MATATIZO

Kijana Mmoja ambaye Jina lake ahalijafahamika Mara Moja akiwa amejeruhiwa vibaya kisa kikielezwa kwamba ni kukutwa na mke wa Mtu.Matukio kama haya yamezidi kushika kasi katika jamii yetu ambapo watu wamezidi kujichukulia sheria mikononi Kwa kuwaadhibu watu na matokeo yake kuwajeruhi watu kupita kiasi.

No comments