Mirror aahidi ‘bonge la surprise kwa mashabiki wake August 30
Mkali wa ‘Baby’ ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya
‘Kolokolo’, Mirror amewataka mashibiki wake wakae tayari kwa video ya
wimbo huo.
lakini pia jamaa amezungumzia ujio wake na kundi la sauti soulz la kenya
lakini pia jamaa amezungumzia ujio wake na kundi la sauti soulz la kenya
No comments