picha,Amber Rose Kwenye Video Ya Kanye West’Robocop’
Imeripotiwa kuwa kabla rapper Kanye West hajarekodi video ya Bound 2
aliyomweka mke wake Kim Kardashian kama video model alisha rekodi video
ya “Robocop” ambayo yupo Amber Rose ila mpaka sasa haikuwahi kuonekana.
No comments