Viatu Virefu Vyamtia AIBU Maimartha!!
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.
Mwandishi
alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya
kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na
alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya
kudondoshwa na viatu virefu.
“Nimeumia
mguu baada ya kudondoshwa na hivi viatu virefu lakini sikomi kwa sababu
navipenda sana na nikivaa ndiyo nakuwa mrembo zaidi,” alisema Maimartha.
No comments