justin Bieber apanga kuishi nyumba moja na Selena Gomez
Justin Bieber anadaiwa kumuomba mpenzi wake Selena Gomez waishi pamoja na jibu alilopata ni ‘Ndio!
Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: “Selena na Justin wapo pamoja kwa asilimia mia sasa, alimuomba ahamie kwake na Selena alifurahi kupita kiasi.”
“She’s still being cautious, she’s not going to give up her place, that way if anything goes wrong or if she decides she needs some space, she’ll have her own spot to go to. “But, officially she’s going to be living with him. It’s a huge step,” kiliongeza.
No comments