Mwigizaji Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker
iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani. Mpaka sasa picha hii
imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious
7. Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hio.
Picha,Vin Diesel Ameweka Hii Picha Ya Paul Walker Facebook,Wengi Imewagusa.
Reviewed by peacethepresident
on
September 26, 2014
Rating: 5
No comments