Rapper Iggy Azalea ambaye hivi karibuni amefanya vizuri kwenye chati
tofauti na nyimbo zake binafsi kama Black Widow na Fancy na kwenye
collabo aliyoshirikishwa na T.I, No Mediocre amekuwa akiongelewa kuwa
msanii mwenye umbo zuri na anayejua kulitumia kwenye picha na video
zake. Hizi ni baadhi ya picha zilizozungumziwa zaidi. Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja
Picha,Ukimtoa Nicki Minaj, Iggy Azalea Ni Msanii Mwingine Wa Kike Mwenye Umbo Lenye Mvuto Zaidi,
Reviewed by peacethepresident
on
September 26, 2014
Rating: 5
No comments