Mastaa Wengine Waachana,Ni Jordin Sparks Na Jason Derulo.
Baada ya Amber Rose na Wiz Khalifa kuachana, E News imeripoti kuwa mastaa Jason Derulo na mpenzi wake Jordin Sparks wameachana. Ripoti zinasema bado Jordin na Jason ni marafiki na kila moja anamjali mwenzake.
Jordin na Jason wamekuwa na mahusiano toka September 2011. Jason Derulo mwenye miaka 25 alimvalisha pete ya uchumba Sparks ’24’ wakati wanafanya video ya Marry Me ya Jason.
No comments