Hatimaye Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Pacha
Wangu’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Video imefanyika jijini Cape
Town, Afrika Kusini na kuongozwa na director Adam Juma wa Visual
Lab:Next Level. Itazame
video mpya ya Rich Mavoko ‘ Pacha Wangu’ aliyoshoot Afrika Kusini na director AJ
Reviewed by peacethepresident
on
September 26, 2014
Rating: 5
No comments