Video: Christian Bella azungumzia siri ya kufanikiwa kama msanii wa bendi anayejitegemea
Ali Choki, Khalid Chokoraa, Super Nyemwela na wasanii wengine wa bendi wamewahi kujaribu kuimba kama solo artists lakini hawakuweza kufanikiwa lakini si kwa Christian Bella. Muimbaji huyo aliyeanza kujulikana na bendi yake ya Akudo, kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wanaopendwa zaidi nchini Tanzania.
No comments