Video: Wanafunzi wa Kiswahili chuo kikuu cha Florida na project ya wimbo wa Diamond
Hii ni video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili
walioshiriki kwenye mradi wa mwaka 2014 uitwao African Language
Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha, Gainesville, Florida nchini
Marekani.
Wakijifunza lugha hiyo kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya, Filipo Lubua, John Munyui na Brenda Wawire.
Katika video hiyo ya juu, mwalimu (mwanafunzi anayeigiza nafasi hiyo) wao amewapa kazi ya kufanya kuhusu muziki wa Afrika Mashariki. Wanafunzi hao wanakubaliana kwenda kuongea na mkuu wa chuo kumuomba awape fedha ili wamlete Diamond Platnumz kwenye chuo hicho.
Video ya chini ni fupi ambayo inaonesha kipande walichokuwa wakijifunza kucheza wimbo wa Diamond ‘Number 1′. u/