Kituo cha redio cha huko Houston,
Marekani kimewafukuza wafanyakazi wake wote 47 na kuamua kucheza nyimbo za
Beyonce 24/7.News92 ilikuwa ni redio kwaajili ya
habari peke yake. Uamuzi wa kubadilisha malengo ya kituo hicho umetokana na
kituo hicho kukosa wasikilizaji. Uongozi unaamini kuwa kwa kupiga nyimbo za
Beyonce wasikilizaji watavutiwa na kuiokoa redio hiyo iliyopo kwenye mawe.
Kituo hicho kitaendelea kucheza
nyimbo za Beyonce kwa saa 24 hadi pale itakapotangaza muelekeo wake mpya.
No comments