Miaka 4 Bila Album,Namba 16 Kwenye Wasanii Wa Hiphop Waliolipwa Zaidi 2014,Hili Ndio Jipya Kutoka Kwa Ludacris
Akiwa
namba 16 kwenye orodha ya wasanii wa hiphop waliolipwa pesa nyingi
zaidi mwaka huu kwa kulipwa dola million 8, Ludacris ametangaza ujio wa
album mpya kupitia twitter.
Ni miaka minne imepita toka ametangaza ujio wa album mpya iliyopewa jina Ludaversal. Album hii inatoka kupitia studio za Def Jam na mpaka sasa tarehe iliyoripotiwa ni March 31, 2015.
Ni miaka minne imepita toka ametangaza ujio wa album mpya iliyopewa jina Ludaversal. Album hii inatoka kupitia studio za Def Jam na mpaka sasa tarehe iliyoripotiwa ni March 31, 2015.
No comments