Rihanna Kuigiza Kwenye Filamu Ya James Bond Kama Bond Girl.
Mtandao
wa Hollywoodlife umeripoti kuwa msanii Rihanna ataigiza sehemu ndogo
kwenye filamu mpya ya James Bond iliyopewa jina ‘Bond 24′.
Filamu itaongozwa na director Sam Mendes nakutoka November 2015.
Sehemu atakayo cheza Rihanna imeripotiwa kuwa ni kuimba moja ya wimbo wake kwenye filamu hio au kuwa Bond Girl ambapo atakuwa karibu sana na star wa filamu za James Bond kwa sasa Daniel Craig.

No comments