ads

Breaking News

Diamond Ametajwa Kuwania Tuzo Za Headies Za Nigeria,Kipengele Kipo Hapa.

Msanii Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Nigeria zinazofahamika kama The Headies 2014.
Diamond ametajwa kwenye kipengele cha Msanii bora wa Afrika yani [ Best African Artist] na anachuana na wakali kama Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana na REBess.
Tuzo zinafanyika October 25,2014.
headies 2 headies

No comments