ads

Breaking News

Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo

10731754_669791816461823_711395622_n
Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku.
Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo.
Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.

No comments