ads

Breaking News

One the Incredible awataja maproducer walioshiriki kuipika R.A.P


10419518_10205580291612696_2943886094629678446_n
December 5, rapper One the Incredible anatarajia kuiachia album yake ya pili inayokwenda kwa jina la R.A.P ambayo ni kifupi cha ‘Representing Africa Popote’, ) Desemba 5 mwaka huu.
Akiongea na kipindi cha Bomba Base Show cha Bomba FM ya Mbeya, One amesema album hiyo inatoka akiwa chini ya uongozi mpya.
“Sasa hivi nina management mpya nimefungua kampuni yangu mpya ambayo inasimamia kazi zangu, ndio kitu kilichofanya album yangu niisogeze mbele. Ni mafanikio mengi nimeanza kuyaona toka nikiwa na management mpya lakini nisingependa kuyaongelea kwa sasa,” amesema.
One ametawaja maproducer walioshiriki kutayarisha album hiyo kuwa pamoja na yeye mwenyewe, wapo Mujwahuki, Nikki Mbishi na Dunga.

No comments