Staa
wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena
kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One
centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.
Jaguar
atapenda sana kusoma maoni ya mashabiki wake baada ya kuisikiliza hii
single mtu wangu so ufanye kumuachia comment hapo chini…
Uliwahi kuufikiria muunganiko wa Jaguar wa Kenya na Iyanya? single yao mpya iko hapa
Reviewed by peacethepresident
on
November 21, 2014
Rating: 5
No comments