ads

Breaking News

Kim Kardashian ampiku Beyonce kama staa aliyetafutwa zaidi mtandaoni

1415759245655_Image_galleryImage_Kim_Kardashian_cover_of_P
Kampuni ya Microsoft imetoa orodha ya vitu vilivyotafutwa zaidi mtandaoni mwaka 2014. iPhone 6, Facebook na Kim Kardashian wameongoza orodha hiyo.
Kwa upande wa watu waliotafutwa zaidi mwaka huu, Kim ameongoza kwenye top 5 yenye mwanaume mmoja tu.
Beyonce ambaye mwaka jana aliongoza, amekamata nafasi ya pili na kufuatiwa na Miley Cyrus, Katy Perry Justin Bieber.

No comments