Picha, Rick Ross na tattoo zingine usoni, Meek Mill je,
Rappa Rick Ross na Meek Mill walitembelea mchora
tattoo maarufu Unroyal Ink Tattoo Studio ili kuongeza wino kwenye sehemu
tofauti kwenye miili yao.
Rick ross ameongeza tatto 7 usoni kama Logo ya timu
ya kikapu ya Miami Heat na logo ya MMG huku Meek Mil akiweka Logo ya MMG
kwenye kiganja cha mkono wake.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Instagram , Twitter Na Facebook
No comments