Video ya Ali Kiba iliyotangazwa kutambulishwa nchi tofauti duniani
inaendelea kupata muda wa hewani kwenye vituo vikubwa duniani, Hii ni
ushahidikuwa mpaka sasa inachezwa kwenye vituo vya sound city vya
Nigeria na Ghana na Channel 10 ya Uingereza.
Picha,Video ya Ali Kiba ‘Mwana’ Inavyochezwa kwenye vituo vya kimataifa.
Reviewed by peacethepresident
on
January 08, 2015
Rating: 5
No comments