ALI KIBA SASA KUFANYA COLLABO YA KIMATAIFA NA CRISS BROWN, PANDE ZOTE MBILI ZATHIBITISHA

Uongozi wa Chris Brown umethibitisha kupokea taarifa za maombi hayo na umeonesha kupenda sauti ya msanii Ali kiba na kutoa tamko kua wapo tayari kusimamia kazi ya pamoja itakayofanywa na wasanii hawa.
Upande wa msanii Chris Brown amesema hana tatizo yupo tayari kushirikiana na msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya kutazama project ya One 8 na ameona kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha japokua anahitaji marekebisho madogo sana.

MTANDAO HUU Tunampongeza msanii Ali kiba kwa juhudi zake tunamtakia kila lakheri katika kazi hii,
No comments