ads

Breaking News

MTV Base haina cha connection wala ujanja ujanja – Joh Makini


Video mpya ya Joh Makini ya wimbo wake ‘Nusu Nusu’ haikuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base kwa bahati!

John Simon Mseke aka Joh Makini amedai kuwa hadi video yako ipigwe katika kituo cha runinga cha MTV Base hakuna masuala ya ujanja ujanja wala connection!
Akiongea na kituo cha redio cha Kings FM cha Njombe, Joh Makini alisema:
Watu wengi wanatuma video MTV. MTV watu wana email zao unaingia unatuma video wakiitazama wanakuemail back kama wataweza kuicheza au ‘hatuwezi kuicheza’. Nilituma video wakanipa 

No comments