Karrueche Tran asema alienda kwenye tuzo za BET na walinzi akihofia kufanyiwa fujo na Chris Brown
Akifanyiwa mahojiano na Madame Noire, Karrueche amekiri kuwa alilazimika kuongozana na walinzi (bodyguards) kwenye tuzo hizo ili Breezy asipate nafasi ya kumsogelea tena.
“This weekend I did have security just because as you know things got a little crazy a few weeks ago…” alisema Karrueche.
Chris Brown ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wiki chaache zilizopita Breezy alimfanyia fujo Karrueche katika jaribio la kutaka kurudiana naye.
No comments