Picha: Amber Rose apose utupu kwenye jarida la GQ (18+)
Aliyekuwa mke wa
rapper Wiz Khalifa, Amba Rose ame-pose utupu kwenye jarida la nchini
Uingereza, GQ. Hii si mara ya kwanza kwa Amber kupiga picha za namna
hiyo toka alipoachana na Wiz.(Ingia hapa)

Kwa mujibu wa Hollywoodlife , inasemekana kuwa hii ni njia moja wapo ya kupromote kitabu chake cha “How To Be A Bad Bitch,”
Katika mahojiano yake na jarida hilo la Uingereza, Amber pia ameelezea sababu za kumshambulia rapper Tyga ambaye ni ex wa rafiki yake Blac Chyna, kwa madai kuwa alimtumia ujumbe mfupi Blac Chyna wa kutaka warudiane huku akiwa na Kylie Jenner.
“I really went in on Tyga. He’d been texting Blac Chyna,Tyga was telling Blac Chyna, ‘I really want my family back’ — but he was out with a 17-year-old.” Alisema Amber.

No comments