Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili
Nyota wa muziki wa
Pop, Selena Gomez amemzidi kete rapper The Game kwa kushika nafasi ya
kwanza kwenye chart za wiki za album, Billboard 200.
Revival, albamu ya pili ya mrembo huyo mwenye miaka 23, iliuza kopi 117,000 katika wiki iliyomazilika.
Album ya ya The Game, Documentary 2 imekamata nafasi ya pili kwa kuuza kopi 95,000 huku The Weeknd akifuatia na albamu yake Beauty Behind the Madness kwa kuuza kopi 77,000.

No comments