Video: Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’
Iyanya ni shabiki mkubwa wa Vanessa Mdee na ndio maana ameamua kupost video hii akiufurahia wimbo wake, Hawajui.
Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu
No comments