Video: Nuru the Light – L (Re-Uploaded)
Nuru The Light anakuletea video ya wimbo wake L.
Video ilifanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa Adam Juma aka AJ.
Nuru alikuwa kimya kwa takriban miaka miwili baada ya kuachia wimbo wake ‘Muhogo Andazi’ aliomshirikisha Bob Junior.
‘L’ umetayarishwa nchini Sweden katika studio za Joevibes Productions
“L inasimama badala ya maneno mengi chanya, inaweza kuwa Love, Light, Love, Life na mengine mengi.
No comments