ads

Breaking News

Lil Wayne atangaza tarehe ya kuachia mixtape yake ‘No Ceilings 2’

Rapper Lil Wayne ametangaza tarehe atakayoachia mixtape yake ya ‘No Ceilings 2’ ambayo ni mwendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2009 ‘No Ceilings’.
Lil Wayne no-ceilings-2-mixtape
Kupitia Twitter rapper huyo alishare covert ya mixtape hiyo ambayo amesema itatoka Nov. 26.
Tayari kuna nyimbo mpya ambazo Lil Wayne amekuwa akiziperform kwenye shows.

No comments