ads

Breaking News

Tidal ya Jay Z kuja na series za vichekesho

Kampuni ya Tidal, inayomilikiwa na Jay Z inatarajia kuanzisha series za vichekezo. Kwa mujibu wa Variety, Tidal itaonesha series mbili mpya.
Jay Z
Series hizo ni pamoja na kipindi cha No Small Talk kinachowapa fursa wachekeshaji wachanga na kuendeshwa Cipha Sounds ambacho kinaanza Jumanne hii, November 3.

Mradi mwingine ni msimu wa pili wa Money & Violence itakayoanza kuoneshwa January. Episode 12 za kwanza zitakaonekana kwanza kupitia TIDAL kabla ya kusambaza kwingine.

No comments