R.Kelly atoa orodha ya nyimbo na cover ya album yake mpya ambayo Wizkid pia kashirikishwa
Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 15 inatarajiwa kutoka December 11.
Hii ndio album ambayo Wizkid alizungumzia alipokuja Tanzania hivi karibuni, kuwa R.Kelly alimpigia simu na kumuomba amshirikishe kwenye wimbo utakaokuwemo kwenye album yake (Ingia hapa). Wimbo ambao kashirikishwa Wizkid unaitwa ‘I Just Want to Thank You’.
Wasanii wengine walioshirikishwa kwenye ‘The Buffet’ ni Jhené Aiko, Ty Dolla $ign, Juicy J, Lil Wayne, Jeremih na Tinashe.
R.Kelly tayari ameachia single tatu kutoka kwenye album hiyo, ‘Backyard Party’ iliyotoka mwezi wa nane, ‘Switch Up’ iliyotoka November 6 na ‘Marching Brand’ ft. Juicy J uliotoka wiki hii.
Hii ndio orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album ya ‘The Buffet’ ambazo zimechujwa kutoka nyimbo 462 alizorekodi R.Kelly kwaajili ya mradi huu.
THE BUFFET STANDARD TRACKLISTING
1. “The Poem”
2. “Poetic Sex”
3. “Anything Goes” feat. Ty Dolla $ign
4. “Let’s Make Some Noise” feat. Jhené Aiko
5. “Marching Band” feat. Juicy J
6. “Switch Up” feat. Lil Wayne and Jeremih
7. “Wanna Be There” feat. Ariirayé
8. “All My Fault”
9. “Wake Up Everybody”
10. “Get Out Of Here With Me”
11. “Backyard Party”
12. “Sextime”
13. “Let’s Be Real Now” feat. Tinashe
DELUXE EDITION
14. “I Just Want to Thank You” feat. WizKid
15. “Keep Searchin’”
16. “Sufferin’”
17. “I Tried”
18. “Barely Breathin’”
No comments