ads

Breaking News

Video: Promo ya kipindi cha ‘A Day In The Life’ cha MTV Base kilichokuwa na Diamond Platnumz




Alipokuwa Milan, Italia, Diamond Platnumz hakuondoka na tuzo ya World Wide Act: Africa/India kwenye MTV EMA pekee, alizunguka pia na VJ wa MTV Base, Stephanie Coker kufanya shopping kwenye mitaa ya jiji hilo kwaajili ya kipindi cha A Day In The Life.
Kwenye kipindi hicho kilichoruka jana jioni, Diamond na Stephanie wanaonekana wakizunguka kwenye maeneo mbalimbali ya mji huo na kupiga story.
Tazama promo ya kipindi hicho hapo juu.

No comments