50 Cent kuandaa series ya comedy kwaajili ya Fox
Series hiyo itakayoonekana kupitia kituo cha Fox inaitwa ‘My Friend 50’ ambayo rapper huyo atakuwa akionekana mara chache pia.
Series hiyo inafuata maisha ya Amanda Kramer anayeamini kuwa akiunga na kampani ya 50 Cent inaweza kuwa jibu la matatizo yake.
Hatua hiyo imekuja miezi kadhaa baada ya 50 ambaye ni mtayarishaji mkuu wa tamthilia ya Power kusaini mkataba wa miaka miwili Starz kuanzisha mradi mpya na kuendelea na Power ambayo sasa inakuja kwenye msimu wa tatu.
No comments