ads

Breaking News

Rapper mpya? Baada ya Magufuli, Papa Francis atrend Twitter na #PopeBars, picha hii ndio chanzo

Weusi, Fid Q na rappers wengine kaeni chonjo sababu Papa Francis anataka crown yake!
3596
Picha ya kiongozi huyo mkuu wa kanisa katoliki duniani akiongea huko Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, imesababisha atrend kwenye Twitter kwa hashtag #PopeBars.
Papa anaonekana akiwa ameshika kipaza kama vile wanavyoshika rappers na hivyo kuifanya picha hiyo iwe gumzo mtandaoni.
Wakitumia hashtag ya #PopeBars watu wamekuwa wakiandika mashairi wanayodhani kama Papa angekuwa rapper akenguwa akiyachana.
Haya ni baadhi ya mashairi:
When I drop rhymes other rappers better pray, gonna cross these dudes out like it’s Ash Wednesday #PopeBars
My psalms are sweaty, pages wet, arms are ready, the spirit in my body already, lord’s spaghetti
Drake and Meek Mill beef on whose rhymes are tighter, but don’t forget about me and my Holy Ghostwriter. #PopeBars
Hadi rappers maarufu akiwemo Talib Kweli nao wametupia mistari:

No comments