Chris Brown kuchangia dola 1 kwa kila nakala ya album yake ‘royalty’ kwa watoto
Ikiwa zimebaki wiki mbili kuachia album yake mpya, Chris
Brown amesema kuwa atachangia kwenye mfuko wa watoto kiasi cha dola moja
kutoka kwenye mauzo ya kila nakala ya album yake, ikiwa ni sehemu ya
kurudisha kwa jamii mwisho huu wa mwaka.
Kupitia mitandao ya kijamii Breezy aliandika,
“The holidays are all about giving back, so this Christmas, from now until Christmas, if you order the album, pre-order the album, one dollar of every album sold will go to Childrens Miracle Network hospital.”
‘Royalty’ ni album ya 7 ya Chris Brown ambayo imepangwa kutoka Desemba 18 mwaka huu.

No comments