.HABARI MBAYA KWA WAPENZI WA ORIJINO KOMEDI, HABARI KAMILI IKO HAPA
Hakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini.
Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hang'oki Katika TV yake.
Umaarufu wao uliongezeka zaidi pale walipohama EATV na kuhamia TBC.
Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hang'oki Katika TV yake.
Umaarufu wao uliongezeka zaidi pale walipohama EATV na kuhamia TBC.
Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku za karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo tumezipata ni kuwa kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake.
No comments